The Big Five Safari Book
Author | : Agnes Letz |
Publisher | : |
Total Pages | : 26 |
Release | : 2020-11-06 |
ISBN-10 | : 9798551920915 |
ISBN-13 | : |
Rating | : 4/5 (15 Downloads) |
Book excerpt: The Big Five Safari Book is all about the Big Five Safari animals found in Africa. These are the elephant, lion, leopard, rhinoceros, and African buffalo. The book is in both English and Kiswahili, giving little readers the opportunity to see the text in both languages on each page. Over 20 beautiful photographs and illustrations accompany simple facts about each animal. The Big Five Safari book provides an opportunity for little readers to go on their own virtual safari while in the comfort of their own home.Kitabu Tano Kubwa kinahusu wanyama watano wakubwa wanaopatikana Afrika. Wanyama hawa ni tembo au ndovu, simba, chui, kifaru, na nyati wa Afrika. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha mbili; Kingereza na Kiswahili ili kuwapa watoto wachanga fursa ya kukisoma kwa lugha hizi zote mbili katika kila ukurasa. Picha maridadi na vielelezo zaidi ya ishirini vinafuatwa na ukweli rahisi kuhusu kila mnyama. Kitabu cha tano kubwa kitawapa wasomaji wadogo nafasi ya kwenda safari kimawazo wakiwa wamestarehe kwao nyumbani.